#muhitimu

Ni stori ya maisha ya kijana wa Kitanzania aliyehitimu chuo kikuu na harakati zake tangu akiwa shule mpaka mtaani. Mategemeo, mahusiano na majaribio ya kutoka kimaisha. Je atafanikiwa?

Usikose kufuatilia hadithi hii ya kusisimua kila Jumapili kupitia tovuti ya  Graduate v2.0 au hapa 4minutes blog #enjoy

Comments